HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 15, 2016

MKUU WA MKOA WA MOROGORO MH. STEPHEN KEBWE ATAMBELEA UPIMAJI NA UMIRIKISHAJI WA ARDHI KATIKA KIJIJI CHA DIHOMBO NA HEMBETI, MVOMERO

Dr. Stephen Nindi(katikati) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi ya Ardhi Tanzania akimuelezea jambo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Stephen Kebwe walipotembelea eneo la upimaji.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Stephen Kebwe akipongeza hatua ya upimaji wa ardhi na kuahidi kuendelea kutembelea kuona maendeleo.
 Christian Thomas(aliyevaa shati la blue) ambaye ni mwenyekiti wa kijiji akimwelezea Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Stephen Kebwe namna zoezi la upimaji wa Ardhi lilivyo wasaidia
 Viongozi wa Serikali na wadau mbalimbali wakiwa katika eneo la moja ya kijiji kuona jinsi shughuli za upimaji zinavyokwenda 
 Hiki ni  kifaa kiitwacho Real Time Kinematic (RTK) ni moja ya kifaa cha kisasa kinachotumika katika upimaji wa ardhi.
Bw. Charles Charokiwa Msumari(katikati) Afisa Mifugo Msaidizi Mkuu wa Tume ya Mipango na Matumizi ya Ardhi akitoa ufafanuzi kwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh. Stephen Kebwe alipotembelea kituo chao ambacho wanakitumia kukusanyia taarifa mbalimbali na shughuli zao
Baadhi ya wadau mbalimbali wakiendelea kufuatilia kwa makini maelezo 
Mtaalam wa GIS Theonest Mlolewe akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Stephen Kebwe (hayupo pichani) namna wanavyofanya kazi. Picha zote na Fredy  Njeje/ Blogs za Mikoa

No comments:

Post a Comment

Pages