HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 23, 2016

Makamu wa Rais Mhe. Samia Ufunguzi wa Mkutano wa Mahakama ya Afrika Mjini Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa kila Mwaka wa Ngazi ya juu wa Makama ya Afrika unaoendelea kujadili kuhusu masuala ya Haki za binadamu, demokrasia na Utawala katika bara la Afrika uliofanyika mjini Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu Jarida la Mahakama ya Afrika ambayo inasheherekea miaka 10 tangu kuanzishwa kwake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa kila Mwaka wa Ngazi ya juu unaoendelea kujadili kuhusu masuala ya Haki za binadamu, demokrasia na Utawala katika bara la Afrika, mjini Arusha kulia ni Rais wa Mahakama hiyo Sylvain Ore. 
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Mahakama ya Afrika wakiimba wimbo wa Taifa wa Tanzania wakati wa Mkutano wa Tano wa kila Mwaka wa Ngazi ya juu wa Mahakama ya Afrika unaoendelea kujadili kuhusu masuala ya Haki za binadamu, demokrasia na Utawala katika bara la Afrika, mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

No comments:

Post a Comment

Pages