Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza na makundi ya vijana wajasiriamali na wasanii wa Filamu jijini Arusha.Amesema fani hiyo ni muhimu katika kuhamasisha maendeleo na kujenga mshikamano. |
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Jiji la Arusha, Tajiel Mahega akizungumza katika mkutano huo. |
Mwenyekiti wa chama cha Waigizaji na Filamu mkoa wa Arusha(TDFAA)Isack Chalo. |
Burudani ikiendelea kutolewa na kikundi cha Sarakasi. |
No comments:
Post a Comment