Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Mwambapa (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati akitangaza Programu ya Go Green na iMbeju kwa ajili ya kuwasaidia vijana kuwaongezea mitaji na uwezo wa kuendesha biashara zao. Kulia ni Mkuu wa Biashara Changa wa Benki CRDB Bank Foundation, Fadhil Bushagama na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji wa benki hiyo, Joycelean Makule. PICHA: JUMANNE JUMA

No comments:
Post a Comment