Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, akimpa pole, Mkurugenzi wa Uendeshaji Sport Pesa Tanzania, Tarimba
Abbas, kwa kufiwa na watoto wake wawili, Maisam na Alliazgar Tarimba Abbas, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 16.2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, akimpa pole, Mke wa Mkurugenzi wa Uendeshaji Sport Pesa Tanzania, Tarimba
Abbas, Warda Tarimba Abbas kwa kufiwa na watoto wake wawili, Maisam na
Alliazgar Tarimba Abbas, nyumbani
kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment