Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Joseph Mungai amefariki leo majira ya 11:20 jioni na mwili wake umehifadhiwa katika Hostitali ya Taifa Muhimbili Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa MNH,
Aminiel Aligaesha alisema kuwa "Tumepokea mwili wa marehemu Joseph Mungai Idara yetu ya magonjwa ya dharura na kuthibitisha kifo SAA 11:20jioni". Joseph Maina Mungai amezaliwa April 4, 1932, Nairobi, Kenya. Mungu ailaza roho ya marehemu mahali pema peponi Amina.
No comments:
Post a Comment