Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya mahafali ya 18 hivi karibuni, kuanzia kulian ni Martin Kayera, Bahati Mollel na Nicodemas Inkoko.

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bahati Mollel (kulia) akiwa na wahitimu wenzake Benedict Luvanda, Theresia Mendoza, Debora Ngalijo na Mariam Lusewa wa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma ya SAUT hivi karibuni.
Baadhi ya wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma iliyotolewa hivi karibuni kwenye viwanja vya Raila Odinga mkoani Mwanza.
Bahati Mollel (kushoto) akiwa na Concilia Niyibitanga mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT).
Bahati Mollel akifurahi
mara baada ya kutunukiwa shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma
ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment