HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 05, 2016

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA UMMA WA MONDULI

 Baadhi ya watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Monduli wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi  wa halmashauri ya wilaya ya Monduli Desemba 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na Halmashauri ya wilaya ya Monduli kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Monduli.

No comments:

Post a Comment

Pages