HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 13, 2016

MTOTO ALIYEMWAGIWA MAFUTA YA MOTO NA BOSI WAKE AENDELEA VIZURI


 Miguu ya mtoto Witness Masonda aliye lazazwa katika Hospital ya Rufaa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Mbeya akiendelea na matibabu baada ya kufanyiwa ukatili kwa kumwagiwa mafuta ya moto na Bosi wake. 
Miguu ya mtoto Witness Masonda aliye lazazwa katika Hospital ya Rufaa ya Kanda yaNyanda za Juu kusini Mbeya akiendelea na matibabu baada ya kufanyiwa ukatili kwa kumwagiwa mafuta ya moto na Bosi wake. (Picha na Kenneth Ngelesi).

No comments:

Post a Comment

Pages