Makamu
wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiongoza wananchi katika matembezi ya hisani wakati
wa uzinduzi wa Kampeni
ya Kitaifa ya Kudhibiti Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza kwenye viwanja vya
Leaders Club, iliyolenga kuhamasisha
wananchi kufanya mazoezi na upimaji wa Afya katika viwanja vya Leaders Club
jijini Dar es Salaam.
Maofisa wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja katika banda lao. Kutoka kushoto ni Ofisa Matekelezo, Abeid Abdulaziz, Ofisa Mwandamizi Uhusiano na Masoko, Amina Mmbaga, Ofisa Uhusiano na Masoko, Kiamba Rajab.
Wananchi wakiwa katika banda la NSSF.
Wananchi wakipata maelezo juu ya Mafao yatolewayo na NSSF.
Wananchi wakipata ufafanuzi juu ya mafao ya NSSF.
Ofisa Mwandamizi Uhusiano na Masoko wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Amina Mmbaga (wa pili kulia), akitoa ufafanuzi kwa watu waliojitokeza katika banda la NSSF.
Ofisa Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abeid Abdulaziz (kulia), akitoa maelezo kwa wanachama wapya wa NSSF juu ya mafao yatolewayo na shirika hilo wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kudhibiti Magonjwa Yasiyo Ambukiza.
Ofisa Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abeid Abdulaziz (kulia), akitoa maelezo kuhusu fao la matibabu (SHIB), linalotolewa na mfuko huo kwa wananchi waliofika katika uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kudhibiti Magonjwa Yasiyo Ambukiza jijini Dar es Salaam
Ofisa Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abeid Abdulaziz (kulia), akitoa maelezo kuhusu fao la matibabu (SHIB), linalotolewa na mfuko huo kwa wananchi waliofika katika uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kudhibiti Magonjwa Yasiyo Ambukiza jijini Dar es Salaam
Kiamba Rajab akimwandikisha mwanachama mpya wa NSSF.
Wanachama wakiandikishwa.
Wanachama wapya wa NSSF wakijiandikisha.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akiwa ameongozana na Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Amina Mmbaga.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akisalimiana na Ofisa Matekelezo wa NSSF, Abeid Abdulaziz.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim (kushoto), akisalimiana na Ofisa Uhusiano NSSF, Kiamba Rajab, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kudhibiti Magonjwa Yasiyo Ambukiza na kudhaminiwa na NSSF. Katikati ni Ofisa Matekelezo wa NSSF, Abeid Abdulaziz
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akisoma vipeperushi vinavyoelezea taarifa za mfuko wa NSSF alipotembelea banda la shirika hilo.
Maofisa wa NSSF wakimsikiliza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akizungumza na maofisa wa NSSF alipotembelea banda lao.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim (wa tatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment