HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 25, 2017

LOWASSA, MBOWE WASHUHUDIA YANGA WAKIADHIBIWA 2-1

Mashabiki wa soka wakiingia uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo kushuhudia pambano la Simba na Yanga. Simba imeshinda 2-1. (Picha na Francis Dande).
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva (kulia), akishangilia bao la kufutia machozi alililoifungia timu yake dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzia Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Haruna Niyonzima. Simba ilishinda 2-1. 
Askari wakiwa katika doria uwanja wa Taifa.
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kushoto), akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema.
 Freeman Mbowe akiwapungia mashabiki wa soka. 
 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akiwapungia mkono mashabiki wa soka waliokuja kushuhudia pambano la Simba na Yanga.
 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema akiwapungia mkono mashabiki wa soka waliokuja kushuhudia pambano la Simba na Yanga. 
 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema akiwapungia mkono mashabiki wa soka waliokuja kushuhudia pambano la Simba na Yanga.  
 Lowassa akishuhudia pambano la Simba na Yanga. 
 Mashabiki wa Simba.

 Mashabiki wa Simba.
 Wachezaji wa Yanga wakiwa wamepigwa na butwaa baada ya kufungwa bao la pili.
 Mwamuzi wa mchezo huo akielekea katikati ya dimba kuanzisha mpira baada ya Simba kufunga bao la pili.
Dida akiwa amechutama baada ya kupigwa bao la pili. 
 Shabiki wa Simba akiwa amepoteza fahamau baada ya Simba kupata bao la pili.
Wachezaji wa Simba wakishangilia baada ya mpira kumalizika.
Wachezaji wa Simba wakishangilia baada ya mpira kumalizika. 
Wachezaji wa Simba wakishangilia baada ya mpira kumalizika.

 Mashabiki wa Simba.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye akisalimiana na beki wa Simba, Abdi Banda.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akisalimiana na Simon Msuva.
 Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya akizungumza na Edward Lowassa.

 Viongozi wakiwa wamesimama kuamboleza kifo cha aliyekuwa mchezaji wa Yanga na timu ya taifa, Godfrey Bonny.
 Mashabiki wa Simba.
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akimtoka beki wa Simba, Novat Lufunga.
 Mashabiki wa Simba.
Mfungaji wa bao la kwanza la Simba, Laudit Mavugo (11), akiwa amembeba Said Ndemla.
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwa na msanii wa filamu, Wema Sepetu, wakati wakiingia Uwanja wa Taifa kushuhudia pambano la Simba na Yanga.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwa na msanii wa filamu, Wema Sepetu, wakati wakiingia Uwanja wa Taifa kushuhudia pambano la Simba na Yanga. 
 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, akiwasili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kushuhudia pambano la Simba na Yanga. 

Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa, akimtoka beki wa Simba, Novat Lufunga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-1. 
Shabiki wa Yanga akipata huduma ya kwanza baada ya kupoteza fahamu.
Beki wa Simba, Janvier Bukungu akitoa uwanjani baada ya kupewa kadi nyekundu.
 Shiza Kichuya akiwa amebebwa na viongozi wa benchi la ufundi.

No comments:

Post a Comment

Pages