HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 27, 2017

MAHAKAMA YAFUTA RUFAA ZILIZOFUNGULIWA NA SERIKALI DHIDI YA LEMA

Wakili wa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, Peter Kibatala, akiwafafanulia jambo viongozi wakuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), baada ya mahakama ya Rufaa kufuta rufaa mbili zilizofunguliwa na Serikali dhidi ya Lema. (Picha na Grace Macha). 
 Lema akiingia Mahakamani huku akiwapungia mkono ndugu na jamaa waliofika mahakamani hapo.
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe  akizungumza na waandishi wa habari.
 Viongozi wa Chadema wakiingia Mahakamani huku wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kulia), Katibu Mkuu wa Chadema, Vicent Mashinji (kulia), Meya wa Jiji la Arusha, Calist (kushoto).
 Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Lema akishuka katika basi la magereza wakati alipowasili Mahakamani leo.
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Lema akishuka katika basi la magereza wakati alipowasili Mahakamani leo.

No comments:

Post a Comment

Pages