Ofisa Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam, John Msumule akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu operesheni ya kukamata Raia wa kigeni wanaishi nchini bila ya kuwa na vibali.
Ofisa Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam, John Msumule akionesha hati mbalimbali za kusafiria wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu operesheni ya kukamata Raia wa kigeni wanaishi nchini bila ya kuwa na vibali.
Afisa Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam, John Msumule akizungumza na Raia wa Uganda aliyekutwa na hati za kusafiria 15 za Raia wa Burundi na Madagascar jijini Dar es Salaam, wakati wa mkutano na waandishi wa habari jana kuhusu operesheni ya kukamata Raia wa kigeni wanaishi nchini bila ya kuwa na vibali.
No comments:
Post a Comment