HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 15, 2017

WAZIRI MKUU AANZA ZIARA KITETO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Engusero wilayani Kiteto waliofunga  barabara wakitaka asimame kuwasalimia. Alikuwa kitoka Dodoma kwenda Kiteto kwa ziara ya kazi mkoani Manyara  Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa skafu baada ya kuwasili  mjini Kibaya kuanza ziara ya kazi wilayani Kiteto Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Tawala  wa mkoa wa Manyara, Eliakim Maswi baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza ziara ya wilaya ya Kiteto  Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimina na viongozi wa dini baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza ziara ya wilaya ya Kiteto  Februari 15, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea  kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera tarifa ya  mkoa wa Manyara  baad ya kusomewa mjini Kibaya katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Kiteto Februari 15, 2017. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mjini Kibaya akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Kiteto Februari 15, 2017.  Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bndera na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Eliakim Maswi. 
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao  mjini Kibaya Februari 15, 2017.

No comments:

Post a Comment

Pages