HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 06, 2017

AJALI YA GARI YAUA ZAIDI YA WANAFUNZI 30 ARUSHA

 Basi dogo aina ya Coaster lililokuwa limebeba wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent ya jijini Arusha likiwa limetumbukia katika korongo na kusababisha vifo vya zaidi ya wanafunzi 3o. (Picha ya Mtandao).

Basi dogo aina ya Coaster lililokuwa limebeba wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent ya jijini Arusha likiwa limetumbukia katika korongo na kusababisha vifo vya wanafunzi zaidi ya 30.
 Wauguzi wakiwapokea majeruhi walipofikishwa katika hospitali ya Mount Meru jijini Arusha walioumia katika ajali ya gari iliyotokea katika Kata ya Rhotia Wilaya ya  Karatu wakati wanafunzi wa Shule ya Msingi Vincent Lucky ya Arusha waliokuwa wakienda Karatu kufanya mtihani na wanafunzi wenzao wa Tumaini English Medium School ya Karatu. (Picha na Grace Macha).
 Majeruhi wakipata huduma ya kwanza wakati wakipelekwa hospitali.
Majeruhi wakifikishwa hospitali.

No comments:

Post a Comment

Pages