Mkazi wa mji Mdogo wa Mombo akiokolewa na wananchi baada ya nyumba yake kuzingirwa na mafuriko yaliyosabaishwa na mvua za masika zinazoendela kunyesha Mkoani Tanga Wilayani Korogwe. (Picha na Mbaruku Yusuph).
Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Steven Ngonyani, akimuokoa mama ambae ni mkazi wa maeneo ya Mji Mdogo wa Mombo ambaye nyumba yake ilizingirwa na maji na kushindwa kutoka ndani.
Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Steven Ngonyani, akimuokoa mama ambae ni mkazi wa maeneo ya Mji Mdogo wa Mombo ambaye nyumba yake ilizingirwa na maji na kushindwa kutoka ndani.
Mkazi wa maeneo ya mji dogo wa Mombo akijaribu kujiokoa kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua za masika zinaoendelea kunyesha Wilayani Korogwe Mkoani Tanga.
No comments:
Post a Comment