Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na viongozi wa CCM na Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, katika Ofisi ya CCM mkoa huo, mwanzoni mwa ziara yake, kukagua uhai wa chama na mwenendo wa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa CCM. Waliokaa kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Saad Kusilawe na Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa huo, Lugano Mwafongo
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Alhaji Abdallah Bulembo akiwasili katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Ilala kwa ajili ya kukutana na viongozi wa Jumuia hiyo leo. Anayemkaribusha ni Mjumbe wa NEC, Ramesh Patel.
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Buulembo akimsalimia Mbunge wa zamani wa Ukonga, Paul Rupia nje ya Ofisi ya CCM wilaya ya Ilala alipowasili kwenye ofisi hiyo
No comments:
Post a Comment