HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 25, 2017

BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 19.5 KWA SERIKALI

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James, akipokea mfano wa hundi ya Sh. Bilioni 19.5 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, ikiwa ni gawio kutokana na hisa zinazomilikiwa na serikali katika  benki hiyo, hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.  (Picha na Francis Dande).

No comments:

Post a Comment

Pages