HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 19, 2017

MNARA WA KUMBUKUMBU SHULE YA LUCKY VICENT

   Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, akiweka shada la maua baada ya kuzindua mnara wa kumbukumbu ya wanafunzi 32, waalimu wawili na dereva wa Shule ya Lucky Vicent waliofariki kwenye ajali Mei 6, mwaka huu eneo la Rhotia wilayani Karatu. (Picha na Grace Macha).
Watoto Doreen Mshana, (aliyeinama), Sadia Awadhi na Wilson Tarimo wakisindikizwa na wenzao baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa mnara wa kumbukumbu iliyofanyika shuleni hapo. (Picha na Grace Macha).
Watoto Doreen Mshana, (aliyeinama), Sadia Awadhi na Wilson Tarimo wakisindikizwa na wenzao baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa mnara wa kumbukumbu iliyofanyika shuleni hapo.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa mnara wa kumbukumbu shuleni hapo.

No comments:

Post a Comment

Pages