Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka kipa wa Lipuli FC, Agathon Mkwando.
Ibrahim Ajib akikabana na beki wa Lipuli.
Tshishimbi akiwa amedhibitiwa na Malimi Busungu wa Lipuli.
Ibrahim Ajib akikabana na beki wa Lipuli.
Tshishimbi akiwa amedhibitiwa na Malimi Busungu wa Lipuli.
Golikipa wa Lipuli FC ya Iringa, Agathon Mkwando, akiokoa mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Yusuf Mhilu.
Kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko, akimiliki mpira huku akizongwa na kiungo wa Lipuli FC, Asante Kwasi, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Golikipa wa Lipuli FC ya Iringa, Agathon Mkwando, akiokoa moja
ya hatari langoni mwake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo. Timu hizo
zilitoka sare ya 1-1. (Picha na Francis Dande).
No comments:
Post a Comment