Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Ameir Hafidh kulia
akimkabidhi hundi ya Sh. Mil. 50 Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam Mhe. Paulo Makonga kuchangia Ujenzi wa Vyumba vya Walimu kwa
Shule za Jiji la Dar es Salaam hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyika
katika Makao Makuu ya PBZ Mpirani Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Ameir Hafidh akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi hundi ya shilingi Sh. Mil. 50 kwa ajili ya kuchangia Ujenzi wa Vyumba vya Walimu wa Mkoa wa Dar es Salaamkulia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paulo Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marine Thomas
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paulo Makonda akizungumza na kutoa shukrani kwa Uongozi wa PBZ kwa msaada wao huo kufanikisha ujenzi wa Ofisi za Walimu wea Shule za Dar es Salaam, kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Juma Ameir Hafidhi.
No comments:
Post a Comment