Aliyekuwa
Mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana
na Rushwa (Takukuru),Godfrey Gugai,
akielekea katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar
es Salaam kusomewa mashtaka ya kuwa na mali zisizoendana na kipato,
kugushi na kutakatisha
fedha. Kushoto ni mtuhumiwa namba mbili, George Makaranga.
Aliyekuwa
Mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana
na Rushwa (Takukuru),Godfrey Gugai,
akitoka katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar
es Salaam baada ya kesi yake kuahirishwa.
No comments:
Post a Comment