Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya SADC PF,
Mheshimiwa Selemani Zedi (wa pili kushoto), akizungumza pale Wabunge wawakilishi
wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary Forum) walipokutana na Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto), Wengine ni Wajumbe wa Jukwaa hilo,
Mheshimiwa Jamal Ali (katikati), Mheshimiwa Esther Mmasi (wa pili kulia) na
Mheshimiwa Magreth Sitta (kulia). (PICHA
NA OFISI YA BUNGE).
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)
akizungumza na Wabunge wawakilishi wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary
Forum) wakiongozwa na Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADCPF, Mheshimiwa
Selemani Zedi (wa pili kushoto), Mheshimiwa Jamal Ali (katikati), Mheshimiwa
Esther Mmasi (wa pili kulia) na Mheshimiwa Magreth Sitta (kulia) katika kikao
kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment