Bwana harusi, Mansour Yahaya akiwa amepozi na mke wake Safina Chamlomo baada ya kufunga ndoa na Tabata Segerea na kufuatiwa na sherehe kabambe inayoendelea katika ukumbi wa Golden Memory Sinza jijini Dar es Salaam Novemba 12-2017.
Bwana
harusi, Mansour Yahaya akiwa amepozi na mke wake Safina Chamlomo baada
ya kufunga ndoa na Tabata Segerea na kufuatiwa na sherehe kabambe
inayoendelea katika ukumbi wa Golden Memory Sinza jijini Dar es Salaam
Novemba 12-2017.
Safina akiweka sawa suti ya bwana harusi, Mansour
Bwana harusi akiangalia saa yake kabla ya kuingia ukumbini.
Bi. harusi akiwa amepozi.
Matron.
Maharusi wakiwa wamepozi.
Bi. Harusi akiwa amepozi na matron wake
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment