Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Umoja wa Falme za
Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim Al-Suwaidi aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa
Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim Al-Suwaidi wa pili kutoka (kushoto)
aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu
jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa mambo ya Nje Balozi
Dkt. Augustine Mahiga na Balozi Zuhura Bundala wa kwanza (kulia)
Picha namba 3. Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Total
Momar Nguer mara baada ya kuwasili Ikulu pamoja na ujumbe wake.
Picha namba 4. Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Kampuni ya Total Momar
Nguer mara baada ya kamaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha namba 5. Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa
Kampuni ya Total Momar Nguer wa tatu kutoka (kushoto ) aliyeambatana na ujumbe
wake mara baada ya kamaliza mazungumzo yao
Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa mambo ya
Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani,
Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage pamoja na Balozi Zuhura Bundala
wa kwanza (kulia). PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment