Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimia baadhi wa wana CCM waliofurika katika ukumbi wa Tawi la CCM Mwinjuma, Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ambao walifika kumlaki katika mapokezi yaliyoandaliwa na Jumuiya hiyo mkoa wa Dar es Salaam, jana.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania-Zanzibar Abdallah Haj Haidar akimpokea Dk Mndolwa kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam.
Dk. Mndolwa akizungumza na Uongozi
Dk Mndolwa akiongozana na baadhi ya viongozi kwenda eneo la tukio.
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Mwafongo akifanya utambulisho wa viongozi ndazi ya mkoa.
CHAKULA CHA JIONI SERENA HOTEL
Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Mwafongo akiwakaribisha Dk. Mndolwa na Mkewe walipowasili hoteli ya Serena kwa ajili ya chakula cha jioni.
Mwafongo akiwaongoza kwenda eneo la kuketi.
Dk. Mndolwa akimsalimia Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Kalokola.
Dk. Mndolwa akimsalimia Ndugu Kizigha.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania- Zanzibar Ndugu Hajj akimsalimia Mama Mndolwa.
Dk. Mndolwa akizungumza jambo wakati wakisubiri muda wa chakula.
Ndugu Mwafongo akiwa amesimama kuwakaribisha rasmi waalikwa wote.
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Kalokola akizungumza maneno ya ukaribisho kwenye chakula hicho cha jioni.
Dk. Mndolwa akiongozana na Ndugu Hajj kuchukua chakula.
Angela Kizigha akimsaidia Dk. Mndolwa kubeba chakula
Mweneyekiti wa CCM Kinondoni akichukua chakula.
Viongozi mbalimbali wakichukua chakula.
Ndugu Mwafongo akiondoka na chakula chake kwenda sehemu ya kuketi
Ndugu Hajj akichukua chakula
Baadhi ya waandaaji wa nyama choma hotei ya Serena
Waalikwa wakila chakula.
Dk Mndolwa na mkewe wakipata chakula na waalikwa wengine.
Kisha Dk. Mndolwa akapozi kwa picha ya kumbukumbu na viongozi mbalimbali aliopata nao chakula hicho cha jioni. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment