Nyumba za Dege
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godius Kahyarara, akimkaribisha Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa
Kaboyoka, wakati wajumbe wa kamati hiyo walipotembelea miradi mitatu ya NSSF.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa
Kaboyoka, akisalimiana na baadhi ya maofisa wa NSSF wakati wajumbe wa kamati hiyo walipofanya ziara ya kukagua mradi ya ujenzi wa nyumba NSSF zilizopo Dege.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godius Kahyarara, akizungumza mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa
Kaboyoka, akizungumza wakati wajumbe wa kamati hiyo walipofanya ziara ya kukagua miradi ya NSSF.
Mkurugenzi wa Utekelezaji na Usajili wa SSRA, Lightness Mauki, akizungumza wakati wa ziara hiyo.
Wajumbe wa kamati wakikagua nyumba za Dege.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godius Kahyarara, akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati ya PAC.
Kukagua ujenzi.
Nyumba za Dungu Farm.
Mhandisi Mwanaid Issa akiwaonyesha wajumbe wa kamati ubora wa nyumba.
Wajumbe wakitoka kukagua nyumba.
Mjumbe wa Kamati ya PAC mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Omary Mgumba, akiuliza swali kuhusu mradi wa nyumba za NSSF.
Mhandisi Mwanaid akimuonyesha Mwenyekiti wa Kamati nyumba za Dungu.
Wajumbe wa kamati wakiangalia nyumba za NSSF zilizopo Dungu baada ya ujenzi wake umekamilika.
Jikoni.
Nyumba za Dungu Farm.
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Omari Mgumba akiuliza swali.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa Kaboyoka (katikati),
akiwaongoza wajumbe wa kamati hiyo wakati wa kukagua utekelezaji wa
miradi mitatu ya ujenzi wa nyumba za NSSF zilizopo Kigamboni jijini Dar
es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godius Kahyarara, akitoa majumuhisho kwa wajumbe wa kamati ya PAC baada ya kumalizika kwa ziara ya kukagua miradi ya NSSF.
No comments:
Post a Comment