HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 11, 2018

TATU MZUKA YAKABIDHI MABATI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI TANO UJENZI WA KITUO CHA POLISI MBANDE

Mchezo wa kubahatisha wa Tatu Mzuka kupitia mshindi wa wiki iliyo pita kutoka Temeke Erinisha Kilango aliyeshinda milioni 50,wamezawadia Wilaya ya Temeke mabati ya thamani ya milioni 5 kusaidia kujenga kituo cha polisi cha Mbande.
 
Tatu Mzuka inasemaga kuwa "ukishinda na Tanzania inashinda. Kwenye wilaya ambayo mshindi anatoka, Tatu Mzuka wanazawadia wilaya milioni 5 kusaidia maendeleo ya wilaya hiyo.

Ukicheza Tatu Mzuka , unaweza kushinda hadi milioni 6 kila lisaa, milioni 10 kila siks na jumapili hii kuna jackpot ya milioni 70 ya kuzawadia.

Afisa wa mawasiliano Bi. kemi Mutahaba akikabithi mabati ya thamani ya millioni 5 kwa Katibu Tawala wa Temeke Mh. Hamisi Komba kusaidia kujenga kituo cha Polisi Mbande, wilaya ya Temeke.

Mafundi wa ujenzi wakiwa wana kabidhiwa mabati yenye thamani ya milioni 5 na Afisa ya Mawasiliano wa Tatu Mzuka, Bi Kemi Mutahaba.
Mhe Hamisi Komba, Katibu tawala wa wilaya ya Temeke akikabidhiwa fedha tasilimu milioni 5 na Bi . Kemi Mutahaba wa Tatu Mzuka kwa ajili ya kununua mabati yatakayo tumika kujenga kituo cha Polisi Mbande, Temeke.

No comments:

Post a Comment

Pages