Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Wafanyakazi wanawake wa Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN) wakijumuika na maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Sehemu ya maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Sehemu ya maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea risala ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea tuzo maalumu kutoka kwa wanawake wa mkoa wa Dar es salaam kwa mchango wake wa kusaidia watu wenye mahitaji maalumu wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akifurahia baada ya kupokea tuzo maalumu kutoka kwa wanawake wa mkoa wa Dar es salaam kwa mchango wake wa kusaidia watu wenye mahitaji maalumu wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipewa zawadi ya kutoka kwa wanawake wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam kwa mchango wake wa kusaidia watu wenye mahitaji maalumu wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika kucheza na kuimba nyimbo za hamasa na wanawake wa mkoa wa Dar es salaam kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiongea machache kabla ya kumkaribisha Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kuhutubia maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Msanii Stara Thomas akitumbuiza wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiongea machache kabla ya kumkaribisha Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kuhutubia maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiongea machache kabla ya kumkaribisha Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kuhutubia maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Sehemu ya maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakishangilia waklati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiongea machache kabla ya kumkaribisha Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kuhutubia maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiongea machache kabla ya kumkaribisha Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kuhutubia maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akihutubua maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipongezwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori baada ya kuhutubia wanawake wa mkoa wa Dar es salaam kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018. Katikati ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba akitoa shukurani baada ya Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kuhutubia maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wengine katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda, Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala, Naibu Kamishna wa Magereza Tusekile Mwaisabila, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mge. Kisare Makori na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda, Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala, Naibu Kamishna wa Magereza Tusekile Mwaisabila Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mge. Kisare Makori na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema na wanawake wa CCM katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda, Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala, Naibu Kamishna wa Magereza Tusekile Mwaisabila na wawakilishi wa wajasiriamali wanawake katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda, Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala, Naibu Kamishna wa Magereza Tusekile Mwaisabila Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mge. Kisare Makori na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema na watendaji wakuu wa wilaya ya Ubungo katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitembelea maonesho ya bidhaa mbalimbali za wajasiriamali wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiaga baada ya kuangalia maonesho ya bidhaa mbalimbali za wajasiriamali wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na msanii Stara Thomas baada ya kuangalia maonesho ya bidhaa mbalimbali za wajasiriamali wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiaga baada ya kuangalia maonesho ya bidhaa mbalimbali za wajasiriamali wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisindikizwa kwa furaha baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na viongozi wengine baada ya sherehe za kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Machi 8, 2018. Picha na IKULU.
No comments:
Post a Comment