Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria
ufunguzi rasmi wa Barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa
katika kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi wa Kahama
mara baada ya kufungua barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika
kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na mamia ya wananchi wa Kahama mara baada ya kufungua barabara ya
Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.

Sehemu ya
Wananchi waliofika kwenye sherehe za ufunguzi wa barabara ya Isaka-Ushirombo km
132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telak wakwanza kushoto,
wabunge wa mkoa wa Shinyanga pamoja na Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi
CCM waliohamia kutoka vyama vya Upinzani.
Sehemu ya
Barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha
lami.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Masumbwe Mbogwe mkoani Geita wakati akielekea Kahama mkoani
Shinyanga. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment