Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa, akimtoka beki wa Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 3-1.
Gadiel Michael akivaa viatu baada ya kupata huduma ya kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Stand United uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa, akishangilia bao pa tatu aliloifungia timu yake.
Ibrahim Ajib (kushoto), akipongezana na Obrey Chirwa baada ya kuifungia timu yake bao la tatu.
Wachezaji
wa Yanga wakimpongeza Ibrahim Ajib (wa pili kushoto), baada ya
kuifungia timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara
dhidi ya Stand United katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa, akishangilia bao pa tatu aliloifungia timu yake.
Ibrahim Ajib (kushoto), akipongezana na Obrey Chirwa baada ya kuifungia timu yake bao la tatu.
No comments:
Post a Comment