Jeneza la marehemu Masogange enzi za uhai wake
Msanii wa kugani mashairi, Mrisho Mpoto, akitoa salama za rambirambi katika msiba wa marehemu Masogange.
Msanii wa Bongo Fleva, Ally Kiba, akitoa salamu za rambirambi.
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, akitoa salama za rambirambi.
Msanii wa Bongo Fleva, Nasib Abdul, ‘Diamond Platnumz’, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa mrembo na mpambaji wa video marehemu, Agnes Gerald ‘Masogange’ katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Haji Manara akitoa heshima za mwisho.
Baadhi ya wanafamilia wakiwa katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Agnes Gerald.
Picha ya Masogange enzi za uhai wake.
Jeneza lililokuwa na mwili wa mrembo na mpambaji wa video marehemu Agnes Gerald ‘Masogange’ likiondolewa katika viwanja vya Leaders.
No comments:
Post a Comment