Amiri Jeshi
Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa amesimama wakati akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kwenda
kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa na vikosi mbalimbali vya Majeshi ya
Tanzania katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Amiri Jeshi
Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akielekea kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa na vikosi
mbalimbali vya Majeshi ya Tanzania katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri
mkoani Dodoma.
Amiri Jeshi
Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akikagua gwaride la heshma katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54
ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri
mkoani Dodoma.
Amiri Jeshi
Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya
kuwasili katika jukwa kuu kwa ajili ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri
mkoani Dodoma.
Vikosi
mbalimbali vya Jeshi la Wananchi, Magereza na Polisi vikipita kutoa heshma
mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli (haonekani pichani )katika ya maadhimisho ya Sherehe
za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja
wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Kikosi cha
Makomando wa (JWTZ) kikipita na kutoa
heshma mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (haonekani pichani )katika ya maadhimisho
ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika
katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Mmoja wa
Makomando wa JWTZ akitoa Heshma kwa kupiga Saluti wakati akipita mbele ya Amiri
Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli (haonekani pichani )katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri
mkoani Dodoma.
Mmoja wa
Makomando wa JWTZ akionesha umahiri wake wa kuvuta gari kwa kutumia meno katika
ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Amiri Jeshi
Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga makofi na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa Pamoja na Jaji Mkuu
Profesa Ibrahim Juma, wakati kikundi cha
Halaiki kilipokuwa kikipita mbele kutoa heshma katika ya maadhimisho ya Sherehe
za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja
wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Askari
wa Jeshi la Magereza wakionesha umahiri wa kupambana na vikwazo mbalimbali
katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Picha namba 18. Amiri Jeshi
Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa amesimama pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, Spika wa Bunge
Job Ndugai wakati kikundi cha vijana wa Halaiki walipokuwa wakipita mbele kutoa
heshma.
Amiri Jeshi
Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubia katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment