Mshambuliaji
wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’, Mwanahamis
Omari, akiwatoka mabeki wa timu ya Taifa ya Zambia 'Chepolopolo' katika
mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Said Powa).
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania 'Twiga Starsá,
wakishangilia bao la pili katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za
Mataifa ya Afrika dhidi ya timu ya Taifa ya Zambia 'Chepolopolo'
Golikipa wa Zambia akijaribu kuokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mshambuliaji
wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’, Mwanahamis
Omari, akichuana na beki wa Zambia.
No comments:
Post a Comment