Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto), akipokea tuzo
ya heshima ya kutambua mchango wake kwa kuipandisha timu ya Coastal
Union kucheza Ligi Kuu msimu wa 2018/19 kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la
Wazee la Klabu hiyo Salimu Bawaziri mapema leo kwenye viwanja vya CCM
Mkwakwani mjini Tanga wakati alipofungua mashindano ya Ligi ya Banda Cup.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) katika
akionyesha waandishi wa habari tuzo aliyokabidhiwa na klabu ya Coastal
Union kwa kutoa mchango wake kuipandisha kucheza Ligi kuu msimu ujao
kushoto ni Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga (CCM) Azzah Hamadi
Hilali.
Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye
pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) kushoto akipokea cheti
kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Klabu ya Coastal Union Salim
Bawaziri ikiwa ni kutambua mchango wake wa kuisaidia timu hiyo kuweza
kupanda Ligi Kuu.
(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
No comments:
Post a Comment