Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti
wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu
Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Makamu
Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada
ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa
CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu
Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula mara baada ya kumaliza mazungumzo na
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa
CCM-Bara Philip Mangula Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment