Rais John
Magufuli akiwa ameongozana na Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary
Zubeiry na Balozi wa Mororcco nchini, Abdellah Benyryane, akikagua
maendeleo ya ujenzi wa msikiti mkuu wa Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania
(BAKWATA) unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco,
Kinondoni jijini Dar es Salaam.
(Picha na Ikulu).
(Picha na Ikulu).
Rais John Magufuli akiwa ameongozana na Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry na Balozi wa Mororcco nchini, Abdellah Benyryane, akikagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti mkuu wa Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya msikiti mkuu wa Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018
Sehemu ya msikiti mkuu wa Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018
No comments:
Post a Comment