HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 18, 2018

SWEDEN YAICHAPA KOREA 1-0

Dimba la Nizhniy Novgorod, lilivyokuwa likionekana kabla ya kuanza kwa pambano la Kundi F kombe la Dunia kati ya Sweden na Korea Kusini, ambako Sweden ilishinda bao 1-0
Mchezaji Lee Jae-sung wa Korea Kusini akilala kuwania mpira na Viktor Claesson wakati wa mechi ya Kombe la Dunia Kundi F, ambako Sweden iliichapa Korea Kusini bao 1-0
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden, Marcus Berg akipiga mpira wakati wa mechi yao ya Kombe la Dunia Kundi F, ambako Swden iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Korea Kusini.
Kiungo wa kimataifa wa Sweden, anayechezea klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani, Emil Forsberg akichuana vikali na nyota wa timu ya taifa Korea Kusini, Koo Ja-cheol, katika mechi ya Kundi F la fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Russia. Sweden ilishinda mechi hiyo kwa bao 1-0. (Picha na Daily Mail).

No comments:

Post a Comment

Pages