Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza Jaji Kiongozi Dkt.
Eliezer Mbuki Feleshi, wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi
hilo Jijini Dar es salaam leo kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya
kikazi ikiwemo kuweka mikakati ya kuwahisha upepelezi wa kesi ili kuhakikisha
haki inapatikana kwa wakati. Picha na
Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Jaji Kiongozi Dkt.
Eliezer Mbuki Feleshi (katikati), wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu
ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam leo kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali
ya kikazi ikiwemo kuweka mikakati ya kuwahisha upepelezi wa kesi ili
kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, kushoto ni Kamishna wa Polisi Jamii CP
Mussa A. Mussa. Picha na Jeshi la
Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza kamishna wa Polisi
Zanzibar CP Mohammed Hassan Haji (wa kwanza kutoka kulia), wakati wa kikao kazi
cha kujadili masuala mbalimbali ya kikazi ikiwemo kuweka mikakati ya kuwahisha
upepelezi wa kesi ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, kikao hicho
kilihudhuriwa na Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, alipofanya ziara ya
kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam leo. Picha na Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment