Kamishna wa Operesheni wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage, akizungumza wakati wa kikao na Uongozi
wa Benki ya CRDB, walipotembelea Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es
Salaam. (Wa kwanza kushoto) ni Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya
CRDB, Dkt. Charles Kimei (wa kwanza kushoto) akizungumza na Kamishna wa
Operesheni Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage (wa kwanza kulia)
pamoja na maafisa wa Jeshi hilo, mikakati ya kudumisha uhusiano baina ya Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji na Benki ya CRDB, wakati wa kikao na Uongozi wa Benki ya
CRDB, walipotembelea Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es Salaam.
Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Peter Mabusi, akifafanua jambo kwa Uongozi wa Benki ya
CRDB, wakati wa kikao walipotembelea Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es
Salaam. (Wa kwanza kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles
Kimei na (wa kwanza kulia) ni Kamishna wa Operesheni Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Billy Mwakatage.
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage (wa tano kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi
Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (mwenyesuti nyeusi), Maafisa wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji waliombatana na Kamishna wa Operesheni wa Jeshi hilo na
Viongozi Waandamizi wa Benki ya CRDB, jijini Dar es Salaam. Picha
na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
No comments:
Post a Comment