
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Eng. Isack
Kamwelwe kuwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kangi
Lugola kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kailima
Ramadhani kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Ndani Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Moses
Kusiluka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.


Viongozi
mbalimbali walioapishwa wakila Kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma mara baada
ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Viongozi
mbalimbali walioapishwa wakitia saini viapo vyao vya maadili kwa Viongozi wa
Umma mara baada ya kuapa.
Rais John Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment