HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 01, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Nchi  wa Mambo ya Nje wa Japan Masahisa Sato mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri wa Nchi  wa Mambo ya Nje wa Japan Masahisa Sato zawadi ya Kinyago pamoja na Picha ya Mlima Kilimanjaro mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Nchi  wa Mambo ya Nje wa Japan Masahisa Sato mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages