HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 27, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AAGANA NA BALOZI WA JAPANI ANAYEMALIZA MUDA WAKE. IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.SEPTEMBA 27,20187

 Picha namba 2-5. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa wa Japan Masaharu Yoshida anayetarajia kumaliza muda wake wa kuiwakilisha Nchi ya Japan hapa Nchini mwisho wa mwezi Septemba 2018.Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.


No comments:

Post a Comment

Pages