Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia
Jaji Mstaafu Harold Nsekela akimuongoza Dkt. Damas Daniel Ndumbaro
kula kiapo cha maadili ya viongozi baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es
salaam leo Septemba 29, 2018. (Picha na Ikulu).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo
Septemba 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
baada ya kumuapisha Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es
salaam leo Septemba 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia suluhu Hassan, Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe. Job Ndugai na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja baada ya Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia suluhu Hassan, Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe. Job Ndugai na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Wakuu
wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na viongozi wa CCM Mkoa wa Ruvuma baada ya kumuapisha Dkt.
Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Misri nchini Tanzania Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf aliyefika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimtambulisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mshariki Dkt. Damas daniel Ndumbaro kwa Balozi wa
Misri nchini Tanzania Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf aliyefika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018.
No comments:
Post a Comment