Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati
akizindua rasmi wa Daraja la Juu la Mfugale (Mfugale Flyover) katika
makutano ya barabara za Nyerere na Mandela maeneo ya TAZARA jijini Dar
es salaam leo Septemba 27, 2018. (Picha na Ikulu).
Mke wa Rais Dkt.
Magufuli, Mama Janeth Magufuli, akiongozana na Shekhe Mkuu wa Mkoa wa
Dar es salaam na mwakilishi wa BAKWATA Sheikh Alhad Mussa Salum
wakielekea kushuhudia uzinduzi rasmi wa Daraja la Juu la Mfugale
(Mfugale Flyover) katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela
maeneo ya TAZARA jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2018.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Japan
nchini Mhe. Masaharu Yoshida akipena mikono na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Mhe. Elias Kwandikwa
baada ya kuzindua rasmi Daraja la Juu la Mfugale (Mfugale Flyover)
katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela maeneo ya TAZARA
jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2018.
Kukata utepe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Balozi wa Japan nchini Mhe. Masaharu Yoshida wakisalimia mamia ya
wananchi waliofurika kushuhudia uzinduzi rasmi wa Daraja la Juu la
Mfugale (Mfugale Flyover) katika makutano ya barabara za Nyerere na
Mandela maeneo ya TAZARA jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2018.

Msafara wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukipita katika
Daraja la Juu la Mfugale (Mfugale Flyover) katika makutano ya barabara
za Nyerere na Mandela maeneo ya TAZARA jijini Dar es salaam baada ya
uzinduzi rasmi leo Septemba 27, 2018.
No comments:
Post a Comment