Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Balozi wa Uturiki nchini Mhe. Ali
Davutoglu wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Makao Mkauu ya Polisi
Dar es Salaam ambapo walijadiliana mambo mbalimbali ya kuimarisha uhusiano. (Picha zote na Jeshi la Polisi).
Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini IGP Simon Sirro akiongea na Balozi wa Uturiki nchini Mhe. Ali Davutoglu
wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Makao Mkauu ya Polisi Dar es
Salaam ambapo walijadiliana mambo mbalimbali ya kuimarisha uhusiano.
No comments:
Post a Comment