Wafanyakazi wa Benki ya I&M wakishindana katika mchezo wa kuvuta
kamba ikiwa ni mmoja michezo iliyofanyika
mwishoni mwa wiki iliyopita wakati wafanyakazi hao walipojumuika pamoja na
kufurahia michezo na burudani mbalimbali kama sehemu ya kujenga mahusiano bora
kati ya wafanyakazi kwa lengo la kuongeza ufanisi wa utendaji. (Picha zote na Francis Dande).
Wafanyakazi wa Benki ya I&M wakishindana katika mchezo wa
kukimbia wakiwa wamevaa magunia ikiwa ni mmoja michezo iliyofanyika mwishoni mwa wiki
iliyopita wakati wafanyakazi hao walipojumuika pamoja na kufurahia michezo na
burudani mbalimbali kama sehemu ya kujenga mahusiano bora kati ya wafanyakazi kwa
lengo la kuongeza ufanisi wa utendaji.
Afisa wa Benki ya I&M, Elizabeth Lugusha akitembea huku akiwa amebeba
yai kwenye kijiko ikiwa ni mmoja michezo
iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita wakati wafanyakazi hao walipojumuika
pamoja na kufurahia michezo na burudani mbalimbali kama sehemu ya kujenga
mahusiano bora kati ya wafanyakazi kwa lengo la kuongeza ufanisi wa utendaji.
Sehemu ya wafanyakazi wa wa Benki
ya I&M Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mwishoni mwa wiki iliyopita.
Wafanyakazi hao walijumuika pamoja na kufurahia michezo na burudani mbalimbali
kama sehemu ya kujenga mahusiano bora kati ya wafanyakazi kwa lengo la kuongeza
ufanisi wa utendaji.
No comments:
Post a Comment