Baadhi ya washiriki.
Wanajumuiya wa Chuo Kikuu Mzumbe wakifuatilia mada mbalimbali..
Baadhi ya washiri wakiwa katika mdahalo huo.
Baadhi ya washiri wa mdahalo huo.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka, akitoa hotuba yake katika Kumbukizi ya Hayati Mwalimu Nyerere.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Steven Kebwe, akizungumza katika mdahalo huo.
Baadhi ya wanajumuiya ya Chuo Kikuu Mzumbe wakifuatilia mdahalo wa Kumbukizi ya Hayati Mwalimu Nyerere.
Baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za sekondari mkoani Morogoro wakishiriki katika mdahalo huo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula (kushoto), akitoa hotuba yake katika mdahalo wa Kumbukizi ya Hayati Mwalimu Nyerere akielekea katika ukumbi wa Samora uliopo Chuo Kikuu Mzumbe mjini Morogoro.
Professa Raphael Chibunda akitoa mada kuhusu Mchango wa Elimu ya Juu katika Kuleta Maendeleo katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Mzumbe, Dk. Montanus Milanzi, akitoa mada kuhusu Mchango wa Elimu ya Juu katika kuleta Maendeleo wakati wa mdahalo wa Kumbukizi ya Hayati Mwalimu Nyerere uliofanyika Chuo Kikuu Mzumbe mjini Morogoro Nov 14, 2018.
Mwenyekiti wa mdahalo Prof. Joseph Joseph Kuzilwa, akiagana na mgeni rasmi.
No comments:
Post a Comment