HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 29, 2018

'MO' ANOGESHA USHINDI WA SIMBA, IKIICHAPA MBABANE SWALLOWS 4-1

 Wachezaji Simba wakishangilia bao lililofungwa na mshambuliaji wa timu hiyo, John Bocco (katikati), katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika mechi ya kwanza ya hatua ya awali dhidi ya Mbabane Swallows ya Eswatin uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-1. (Picha na Francis Dande).
Chama akishangilia bao.
Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘MO’ akishangilia wakati timu yake ilipokuwa ikiwahadhibu  Mbabane Swallows ya Eswatin katika mchezo  wa Ligi ya Mabingwa Afrika mechi ya kwanza ya hatua ya awali dhidi ya Mbabane Swallows ya Eswatin uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Simba ilishinda 4-1.
 Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Mmbabane Swallows.
Wachezaji wa Simba wakipongezana.
Mashabiki wa Simba wakishangilia timu yao.
 Mashabiki wa Simba.
 Furaha ya ushindi.
Meddie Kagere.

No comments:

Post a Comment

Pages