HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 27, 2018

MTIBWA SUGAR YAICHAPA 4-0 NORTHEN DYNAMOS

Mshambulia wa Mtibwa Sugar, Ismail Aidan, akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Northen Dynamos ya Shelisheli katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC), uliofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Mtibwa ilishinda 4-0. (Na Mpiga Picha Wetu). 
Kipa wa Northern Dynamo, Travr Cadeau, akikoa mpira ulioelekezwa goli kwake

No comments:

Post a Comment

Pages